Vigezo Vya Kujiunga na JWTZ Tanzania
Vigezo Vya Kujiunga na JWTZ Tanzania
Eligibility Criteria for Applicants
Applicants must meet the following requirements:
- Must be a Tanzanian citizen by birth
- Must be in good physical and mental health
- Must have good conduct and no criminal record
- Must possess:
- Original birth certificate
- Academic certificates (secondary or higher education)
Age Limits
- Maximum 25 years for Form IV and Form VI graduates
- Maximum 28 years for applicants with higher education
Additional Requirements
- Applicants must not have previously worked with:
- Police Force
- Prisons Service
- Special Forces or other security organs
- Must have completed National Service (JKT) training and obtained a certificate (where applicable)



WAZIRI IBRAHIMU KIBIRITI
S L.P359
LUSHOTO
16/04/2026
MKUU WA UTUMISHI JESHINI,
MAKAO MAKUU YA JESHI ,
S.L.P 194,
DODODMA, TANZANIA.
YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)
Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu.
Mimi nikijana mtanzania mwenye umri wa miaka 20 nimehitimu elimu yangu ya kidato cha nne mwaka 2023 ,kwa mujibu wa tangazo lililotolewa kupitia tovuti yako ya ulinzimagazine@tpdf.mil.tz kutokana na elimu yangu inanishawishi kujiunga na jeshi lako hivyo ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi hilo.
Nipo tayari kulitumikia jeshi kwa nidhamu na uzalendo wa hali ya juu kwa ajili ya kuisaidia nchi yangu Tanzania.
Natumaini ombi langu litapokelewa na kukubaliwa
Wako katika ujenzi wa Taifa
W.I.Kibiriti
Waziri Ibrahimu Kibiriti.
Simu na: 0774177045/0678089593
Namba ya NIDA:20060529217220000123